Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa nje ya Hospitali tayari kwa kuhabarisha kinachoendelea. |
Hichi kinachoonekana ndicho chumba atakacho kuwa amelazwa huku pembeni akiwepo mmewe akishuhudia kinachoendelea wakati akijifungua wale waliopitia sehemu hizo wanasema "LABOUR" |
Jengo likionekana kwa nje na ulinzi ukiwa barabara |
Hili ni Gazeti la The sun la 1982 lilivyoandika wakati William alipozaliwa ambae sasa na yeye anasubiri kupata mtoto nae ataandikwa kama yeye alivyoandikwa. |
TABASAMU KIDOGO |
Ilikuwa hivi taratibu badae.........na sasa wanatarajia mtoto ndani ya masaa kadhaa...!! |
KATE wakati wa ujauzito wake. |
No comments:
Post a Comment