Pages

Tuesday, July 9, 2013

Angalia PICHA ZA SHOW ALIYOFANYA DIAMOND NA PREZOO KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI NI BALAA.

 

a kufanya yale yaliyotuleta...
Mwana F.A akishow Love na Msanii toka Kenya
 Prezzo akiwa anaelekea jukwanii...
Prezzo akipunga kofia kwa hewa kuwasalimu
watanzania waliofurika uwanjani hapo...






Prezzo akifanya yake uwanjani...!!

Prezzo akiwa amevalia tshirt yenye bendera mbili,Kenya
 & Tanzania hii akimanisha ana damu mbili....
Kama ujui ngoja nikujuze.......Mama mzazi wa Prezzo ni
Mtanzania kabisa toka mwanza...


No comments:

Post a Comment