ANGALIA PICHA::MBUNGE WA UBUNGO JOHN MNYIKA AMFARIJI PROFESA J KWA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI
Mbunge wa jimbo la Ubungo #JohnMnyika
akiwasili nyumbani kwa Prof Jay Mbezi mwisho...amepita kuja kuwafariji
wafiwa ambapo kesho ndio tutampumzisha mama katika makaburi ya Kinondoni
majira ya saa 10 jioni..PICHA NA DJ CHOKA
peopless power
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi
ReplyDelete