Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 6, 2013

ANGALIA VIDEO YA WEMA SEPETU AANZISHA REALITY SHOW YAKE.

Wema Sepetu alitangaza kwamba anaandaa reality show yake chini ya kampuni anayoimiliki “Endless Fame”. Muda umefika wa kuanza kuonyesha hiyo show yenyewe na Wema ameshatoa teaser au kionjo cha reality show hiyo ambayo inaonyesha baadhi ya vitu vinavyohusika kwenye show hiyo. Kwenye hii teaser inamuonyesha Wema anazungumzia kazi, mahusiano na katajwa Diamond humo,ziara za Wema na maisha ya nyumbani.

No comments:

Post a Comment