Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 20, 2013

BREAKING NEWZZZZ::KUNA AJALI IMETOKEA IRINGA(MAKAMBAKO)BASI LA SUPA FEO LIMEGONGANA USO KWA USO NA ROLI.


 Breaking Nuuuz: kuna ajali mbaya imetokea eneo la nyororo iringa baada ya Basi la Supa Feo lililokuwa likitoka Iringa kugongana na Lori uso kwa uso. Hakuna vifo wala majeruhi ila abiria wamepata mshtuko.Chanzo cha ajali hiyo bado hakujafahamika.picha kwa hisani ya Tone media

No comments:

Post a Comment