Gari aina ya Toyota ist
lenye namba T 635 CEP kama linavyoonekana pichani limeibiwa na wezi
vifaa mbalimbali eneo la Buguruni Chama usiku wa kuamkia leo kama
lilivyo kutwa na mwandishi wetu, hadi tunaondoka eneo la tukio saa 1:30
asubuhi mwenye gari alikuwa hajaonekana. |
No comments:
Post a Comment