Leo nilipata
nafasi yakumtembelea msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina la
Zola D nyumbani kwake. Mazoezi niliyokutana nayo akiyapiga daaah aisee
jamaa anapenda sana mwili wake kwamaana kwa haraka haraka ukiwa karibu
nae unaweza kusema anaweza kuumia.
 |
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ CHOKA
|
No comments:
Post a Comment