Pages

Sunday, July 7, 2013

ENOCK JONAS AWAZUNGUSHA WATAZAMAJI na WIMBO WAKE WA ZUNGUKA ZUNGUKA UWANJA WA TAIFA TAMASHA LA MATUMAINI TAZAMA HAPA.


Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Enock Jonas akitumbuiza nyimbo yake pendwa ya Zunguka kwenye Tamasha la Matumaini 2013.
Nyomi ikiimba sambamba na Enock wimbo wa Zunguka.
Vijana wakimsindikiza mkali wa Zunguka.PICHA NA GPL

No comments:

Post a Comment