Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 4, 2013

FERGUSON HATAKI SHIDA ZA SOKA TENA, AJIPUMZISHA KUANGALIA TENISI!

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
“Ebwana michezo sio soka tu” leo hii kali zaidi ni kuwa, kocha mkuu wa zamani Manchester United Sir Alex Ferguson alihudhuria katika michuano ya Tenisi ya  Wimbledon kumtazama Muingereza Andy, huku timu yake ya zamani ikianza mazoezi chini ya meneja mpya David mOyes.
Ferguson aliyestaafu kuifundisha United msimu uliopita baada ya kudumu kwa miaka 27, sasa kiti chake cha moto kimebakia kwa kocha mpya wa timu hiyo David Moyes.
Wakati Moyes akianza kazi katika uwanja wa mazoezi wa Carrington, Ferguson na mke wake alionekana kuwa na furaha katika michuano hiyo, huku akisahau mawazo ambayo angeyapata kutokana na Rooney kukataa kubakia Old Trafford.
Arrived: Former United manager Sir Alex Ferguson turns up for the day's play alongside Judy MurrayAkiwasili: Kocha wa zamani wa United kibabu Sir Alex Ferguson akiwasili kutazama Tenisi
Legends unite: Hodgson shakes hands with Ferguson in the Royal BoxMalejendari wamekutana: Hodgson akisalimiana kwa furaha na sir Ferguson
Reminiscing: Fergie speaks with former Wimbledon champion Ann JonesFergie akizungumza na bingwa wa zamani wa Wimbledon Ann Haydon-Jones
Rooney mwenye umri wa miaka 27, leo hii amekutana na Moyes, lakini suala hilo halimhusu tena Ferguson baada ya kustaafu kufundisha soka.
Loe hii kibabu alikuwa katika michuano hiyo kama sehemu ya kuachana na presha za soka.
Not strictly football: Fergie and Hodgson enjoy time away from the pitch at SW19Sio soka tu: Fergie na  Hodgson wakifurahia maisha nje ya uwanja wa soka
Settling down: Fergie may be relieved to be away from the stresses of football managementSasa ametulia: Fergie hana shida tena na ameondokana na presha za kuongoza soka katika klabu kubwa ya United
Looking on: United defender Nemanja Vidic takes in some of the action while his team-mates returned to training
Hadi huyu?: Mlinzi wa kati wa United.,  Nemanja Vidic akitazama michuano hiyo wakati wenzake tayari wameshaanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya
Doubt: Rooney arrived for a meeting with David Moyes today, something Ferguson won't have to worry aboutWasiwasi: Rooney alifika uwanjani leo kukutana na Moyes, kitu ambacho hana wasiwasi kabisa kwa sasa
Down to business: Moyes has started work at United this weekKazi imeanza: Moyes ameanza kazi huku aliyemrithisha mikoba SIR Ferguson akiwa na ishu nyingine za maisha
Big test: Murray arrives for his crucial quarter-final tie with VerdascoMkali wa kwelit: Murray akiwasili katika mchezo muhimu wa robo fainali dhidi ya Verdasco

No comments:

Post a Comment