HATIMAYE MAMA MONALISA AFUNGA NDOA, TAZAMA PICHA HAPA AKIWA NA MUME WAKE
Mama Monalisa na Mume wake mpya
Baada ya kitchen party,kuvishewa pete..hatimaye ile siku iliyokuwa
inasubuliwa imefika baada ya mama Monalisa kufunga ndoa na kuishi
mazingira ya mume na mke na mumewe huyu mpya. Hongera sana mama,NA BONGOCLAN
No comments:
Post a Comment