Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 6, 2013

IRENE UWOYASIRI NZITO KATI YAKE NA FERRE GOLA KUTOKA CONGO


irene
u1_ferre
Irene Uwoya hivi karibuni amebadilisha jina lake la instagram na kuanza kujiita Irenewaferegola8. Kama ulikuwa hujui Feregola8 ni msanii mkubwa kama Farry Ipupa huko Congo. Hatujajua kama irene uwoya ni marafiki wapya wazuri au Irene Uwoya ni moja kati ya mashabiki wakubwa wa mwanamuziki wa Congo Fere Gola.

No comments:

Post a Comment