Aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa SUMATRA na Jaji Mstaafu wa mahakam kuu ya Tanzania 'Buxton David Chipeta' amefariki dunia siku ya tarehe 16 Julai, 2013 kwenye Hospitali ya Hindu Mandal iliyoko jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Marehemu, Oysterbay Mtaa wa Chole/Lincon, Plot No. 580. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema Peponi, Amen.
Benki ya CRDB kumtunuku mteja Ford Ranger, yazindua kadi za TemboCard
-
*Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania
kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi
ma...
11 hours ago
No comments:
Post a Comment