Kupitia official account ya Instagram ya RocaFella, kumetolewa picha ya Jay Z akikabidhiwa platinum plaque baada ya mauzo ya album hiyo kufikia millioni moja ambapo pia kupitia page ya instagram ya Beyonce pia na yeye ametupia picha ikimuonyesha Jay Z kipindi akiwa mdogo na mavazi ya graduation with caption ya “Platinum #MagnaCarta”.
Unaambiwa soon Jay Z ata-release video clip ikiwaonyesha yeye na Nas pamoja na washkaji wengine wakiwa studio wakirekodi moja ya ngoma ambazo zipo kwenye album hii so get ready kwa ajili ya hiyo clip na utaiona hapahapa kwa mtu wako wa nguvu aisee
No comments:
Post a Comment