LHRC YATOA TAARIFA YA NUSU MWAKA YA MATUKIO MBALIMBALI NCHINI KUANZIA JANUARY-JUNE 2013
Mtafiti
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mlowe
(kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam leo Julai 29, 2013, wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya
kuanzia Januari hadi Juni 2013 ya kituo hicho kuhusu mambo mbalimbali
yaliyotokea nchini. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio. Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio, akizungumza katika mkutano huo.
Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo. Wengine ni watafiti wa kituo hicho
Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria mkutano leo
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment