Zanzibar Filim Festival bado inaendelea na msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amejikuta mwenye furaha tele baada ya kushinda tuzo ya Best Actress in Swahili Film kupita movie ya Woman of Principles ya RJ Company. Movie hiyo ambayo imeigizwa na Ray,Nagris Mohamed na Lulu mwenyewe, ilifanya vizuri mwaka jana na ni ilipata nafasi ya kuingia kwenye tuzo hizi za ZIFF. ZIFF ni tamasha kubwa sana Africa nzima huku likiwa kutanisha wadau mabalimbali wa filamu, inaonekana hii itakuwa ni kick ya Lulu kufunguka kimataifa zaidi baada ya kupata platform kama hii.
JAFO AZINDUA MFUMO WA KUTUMIA KAMERA ZA KIDIGITALI NA STIKA YA UTAMBUZI WA
GHALA
-
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiangalia mfumo
unavyofanya kazi mara baada ya kuzindua Mfumo wa kutumia kamera za
kidijitali na st...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment