Hii imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa
silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko
Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia
mahabusu ya kituo hicho, majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka
silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall
haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha
polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi CREDIT ; Radio Wapo, Radio Tumaini
No comments:
Post a Comment