MKWERE, STEVE NYERERE NDIYO WASHEREHESHAJI WA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA.
Wasanii Hemed Maliyaga 'Mkwere' na Steve
Mangere 'Steve Nyerere' leo ndiyo washereheshaji wetu katika Tamasha la
Matumaini 2013 linalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es… NA
GPL
Wasanii Hemed Maliyaga 'Mkwere' na Steve
Mangere 'Steve Nyerere' leo ndiyo washereheshaji wetu katika Tamasha la
Matumaini 2013 linalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment