Pages

Friday, July 19, 2013

MPENZI WA MSANII MABESTE AJIFUNGU MTOTO WA KIUME


Katika majira ya saa moja jioni maeneo ya Mbezi Beach katika hosp ya MASANA mchumba wa msanii wa hip hop nchini Mabeste amejifungua mtoto wa kiume. Ni furaha sana aliyonayo Mabeste now na mungu ni mkubwa kwa kila jambo. Mungu awajalie maisha mapya wanayoyaanza kwa sasa na wamlee mtoto wao kwa amani na furaha tele

No comments:

Post a Comment