Mkuu
wa mkoa Kigoma Issa Machibya (kushoto) akikabidhi mwenge wa uhuru kwa
Mkuu wa mkoa Katavi Rajabu Rutengwe (kulia) baada ya mwenge huo kumaliza
mbio za siku nane mkoani Kigoma ambapo ulipitia, kukagua, kuzindua na
kufungua miradi 64 yenye thamani ya shilingi bilioni 13.7
(Picha zote na Fadhili Abdallah wa habarileo)
|
No comments:
Post a Comment