Mtanzania
anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem
Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa
Taifa,Dar.
Thabeet
anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki
wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.NA
MDODOSAJI BLOG
Daaaah huyu kaka mrefu balaa
ReplyDelete