Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba
walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao
katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi hao toka
kushoto ni Mhe Modest Melo anayekwenda Umoja wa Mataifa, The Hague, Geneva, Mhe
Mabrouk n. Mabrouk (Abu Dhabi – Umoja wa Falme za Kiarabu – UAE), Luteni
Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (Beijing, China), Mhe Anthony Cheche (Kinshasa
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – DRC), Mhe Chabaka Kilumanga (Visiwa vya
Comoro), Mhe Wilson Masilingi (The Hague, Uholanzi) na Mhe Liberata Mulamula
(Washington DC, Marekani). PICHA NA IKULU
WAKULIMA WAASWA KUHAMASIKA KULIMA KILIMO HAI KWA USALAMA WA CHAKULA
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Wakulima nchini wametakiwa kuzingatia kilimo hai na endelevu kwa lengo la
kulinda afya za watu na mazingira, pamoja na kukab...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment