Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)
Monduli, Arusha, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo
Julai 13. Pamoja naye ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali V.K. Mritaba.
Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na
kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa
vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)
Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo.
Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa
zawadi Ofisa Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora wa jumla mwaka
huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya
kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu
205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu,
ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa
zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool toka Visiwa vya Ushelisheli kwa
kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni
kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo
wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu
wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya
Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25,
wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa
kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Meza
kuu wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo
Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.
No comments:
Post a Comment