Waziri
wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export
Import ya Korea wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo
vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri
wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export
Import ya Korea wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa
ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini
Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.

wa Fedha Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya
Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import
ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo
vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo).
No comments:
Post a Comment