Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 2, 2013

TAZAMA JINSI CIA NA FBI WANAVYOMLINDA RAIS OBAMA KWA ULINZI MKALI




Helikopta ya Polisi ikiwa katika doria ya hapa na pale, hata hivyo eneo lote la uwanja wa Ndege ulidhibitiwa na Wamarekani wenyewe ikiwemo na kazi ya kuongoza ndege. 
Ulinzi kila kona
Ulinzi ulimarishwa.
Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.
Gari alilopanda Rais Obama
(Picha na Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment