Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 2, 2013

Tazama kitu Justin Bieber alichoamua kulifanya gari lake ili tu likae 'kijanja' kama yeye

 

Hili ndilo tukio lingine ambalo limemrudisha Mwanamuziki Justin Bieber kwenye Headlines tena, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya
shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.
Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa 
chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema 
kuwa, Staa huyu aliamua kufanya  mchongo huu ili kuwezesha gari yake 
ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao 
kwa siku moja.
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.

No comments:

Post a Comment