Studio za De Fetality zinazomilikiwa na producer Mesen Selekta zilikuwa zikijulikana kwa kuwa sebuleni lakini baada ya beatmaker huyo kuuchanga, sasa amezihamishia kwenye ofisi nzuri na ya maana. Mtazame hapa kwenye show ya online inayotayarishwa na kampuni ya Creative Mindz na mtangazaji akiwa Kenedy The Remedy wa East Africa Radio.
No comments:
Post a Comment