Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce
Mkinga akionesha kwa waandishi wa habari kijitabu cha Dira ya Taifa ya
Maendeleo hadi kufikia 2025, wakati wa mkutano na waandishi wa habari
Jijini Dar Es salaam
Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce
Mkinga akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa
dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025 wakati wa mkutano na
waandishi wa habari Jijini Dar Es salaam kushoto ni Afisa Habari toka
Idara ya Habari Bi. Fatma Salum.
PICHA ZOTE NA FRANK MVUNGI-MAELEZO
No comments:
Post a Comment