Majeruhi wa ajali
hiyo wakiwa hospitali kwa ajili ya matibabu mara baada ya ajali hiyo
iliyouwa watu wanne.ajali hiyo ilitokea mapema leo mchana wakati basi
hilo lilokuwa linatkea dar es salam kwenda mwanza endelea kupitia
audifacejackson blog.Na ndipo basi hilo lulipopata pancha na kupinduka
mkoani dodoma
MKE WA RAIS ZANZIBAR AFURAHISHWA NA MCHANGO WA WAKE WA MARAIS AFRIKA
-
MKE wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya
Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameeleza
kufurahi...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment