Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 19, 2013

WAZIRI DKT. FENELLA AZINDUA SEMINA YA MAAFISA VIJANA


PIX1a Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akizungumza na Maafisa Vijana kutoka mikoa yote hapa nchi wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB,mgeni rasmi katika hafla hiyo alikualikuwa Mheshimiwa Dkt Fenella Mukangara ambaye ndiye Waziri mwenye dhamana ya Vijana.PIX2akatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (hayupo pichani) wakati wa  ufunguzi wa Semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam.
 PIX3a PIX3Aa 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB.
PIX5aMkurugezi wa Maendeleo ya Vijana Profesa Elisante Ole Gabriel akifuatilia kwa makini hotuba ya  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB.
PIX4aBaadhi ya washiriki wakifuatilia kwa makini hotuba ya  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa semina kwa Maafisa Vijana jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na kudhaminiwa na Benki ya NMB. Picha Zote na Frank Shija – MAELEZO

No comments:

Post a Comment