Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Isack
Sepetu jana alivunja rekodi ya mwaka baada ya kuandaa futari ya nguvu
ambapo aliwaalika watu mbalimbali wakiwepo watoto yatima nyumbani kwake
Kijitonyama jijini Dar es Saalam. Katika hafla hiyo, watu waliohudhuria
walikula na kusaza.
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)
(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)
No comments:
Post a Comment