Pages

Tuesday, August 20, 2013

ANGALIA PICHA::BOMOA BOMOA YA NYUMBA KURASINI MANTAKINI YASABABISHA WATU KUZIRAI


watu wakifungasha vitu vyao vizuri chini ya ulinzi
Mkazi huyu akilia huku mali zikiwa nje
Greda ikiendelea kubomoa nyumba
Mmoja wa wamiliki wa nyumba iliyobomolea akiwa kazirai
siku mbili baada ya mh. Tibaijuka kuongea na wakazi wa Kurasini, janaManispaa imeingia na magreda. na kubomoa makazi 

No comments:

Post a Comment