Pages

Saturday, August 24, 2013

ANGALIA PICHA::HALI YA UWANJA WA NAMFUA SINGIDA UPO KATIKA MAZINGIRA MABOVU SANA


Hii ndio hali halisi ilivyo katika uwanja mkongwe na wa kipekee ambao unafaa kuchezewa mechi za ligi wa Namfua uliopo mjini Singida.PICH NA SHAFFIH DAUDA  


Nje ya uwanja kulivyo

Hali ya mazingira ya uwanja ni mbaya sana - kuna uchafuzi wa mazingira wa hali ya juu




Uwanja huu kuta zote zipo katika hali mbaya ya kimazingira kutokana na kujaa vinyesi na mikojo

No comments:

Post a Comment