Pages

Sunday, August 25, 2013

ANGALIA PICHA:MAAZIMISHO YA MIAKA 50 TANGU MARTIN LUTHER KING KUTOA HOTUBA MAARUFU WASHNGTON DC





Waandamanaji wakiwa na bango la Martin Luther King katika maadhimisho ya miaka 50 tangu Martin Luther King kutoa hotuba maarufu "I have Dream" katika harakati za kudai haki za kiraia kwa weusi Marekani yaliofanyika Jumamosi katika jiji kuu la Marekani Washington Dc.
IMG_3821
Waandamanaji Ruth May na Shawna May wakishiriki maandamano haya ya kihistoria kuadhimisha miaka 50 tangu Martin Luther King alipoandamana Dc na kutoa hotuba yake maarufu "I have a Dream".
IMG_3841

Sehemu ya kundi la waandamanaji wakielekea kwenye eneo la tukio.
IMG_3823

Wananchi wa Dc walitoa yao ya moyoni wakiwa na mabango mbali mbali kwenye maandamano ya miaka 50 tangu mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King kuandamana mwaka 1963.
IMG_3857
Wamarekani weusi wanapiga ngoma pia hapa wakisheherekea kwa ngoma za asili.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments:

Post a Comment