BASI LA LIVAI LAPATA AJALI MBAYA MAENEO YA MKURANGA PWANI
Basi
la abiria la livai linalofanya safari zake Kutoka Dar es salaam kwenda
nachingwea limepata ajali eneo la Mkuranga Mkoa wa Pwani na kuumia
vibaya sehemu ya mbele hadi sasa haijathibitishwa kifo chochote kutokea.
No comments:
Post a Comment