Pages

Thursday, August 22, 2013

BREAKING NEWS: NDEGE YAPATA AJALI NA KUANGUKIA NDANI YA ZIWA MANYARA


Meza yetu ya habari imepokea taarifa ya ajali ya ndege  iliyoipata  moja ndege za Kampuni ya Tanzanair  iliyokuwa inafanya safari yake  toka Bukoba kuelekea Zanzibar ikiwa na abiria sita na rubani. Kutokana na maelezo ya mmoja wa abiria , Ndege hiyo inasemekana
kuanguka  mapema leo katika ziwa Manyara,  hadi  tunaandika  habari hii ndege hiyo bado  ilikuwa unaelea majini , na taarifa za uhakika ni kuwa rubani na abiria wote wako salama hadi sasa.  Taarifa zaidi zimetujuza kuwa kuna boti imetoka Serena kwenda kuwaokoa.
SOURCE-CHINGA ONE


No comments:

Post a Comment