Pages

Friday, August 2, 2013

DJ SEK BLOG INATOA POLE KWA MSANII SHAA KWA KUFIWA NA MAMA YAKE


Mwanamziki SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.

  DJ sek blog inatoa pole sana kwa Shaa pamoja na Familia yake.  Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

R.I.P Mama Shaa

No comments:

Post a Comment