Mbali
ya mwamuzi kufanya kisichotarajiwa kwa timu zote mbili lakini mashabiki
wa Yanga bado walishikilia kuwa Coastal Union wamebebwa hata kuzawadiwa
penalt dakika ya 90 na nahodha Jerry Santo kutumbukiza wavuni na
kugeuza matokeo kuwa 1-1. Hata hivyo gari la wachezaji wa Coastal Union
lilishambuliwa na mashabiki wa Yanga hata kuvunjwa kioo cha pembeni na
beki wa Coastal Union Hamad Juma kupasuliwa sehemu ya kichwa akashonwa
nyuzi kadhaa. Viongozi wa Coastal Union wanauliza je huu ni uungwana?
TBL YAADHIMISHA SIKU YA BIA FUNIANI KWA KUHAMASISHA KUNYWA KISTAARABU YATOA
ELIMU YA KUNYWA KISTARAABU.
-
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL),
inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni
...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment