Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

GET WELL SOON AUNTY EZEKIELI.NA POLE KWA JERAHA

Aunty Ezekiel.
Aunty Ezekiel.mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Aunty Ezekiel imeripotiwa kupata majeraha katika mkono wake wa
kushoto baada ya kuchimbwa na chupa yenye ncha kali, sakata hilo la hatari lilitokea katika Club ya Billicanas wakati wa show iliyokifanyika hapo chini ya Madam Wema Sepetu chanzo chetu kimetuhabarisha.

Aunty Ezekiel
Mkono aliojeruhiwa Aunty ukiwa bado kufungwa.
Aunty Ezekiel
Unty akiwa kapumzika katika kitanda cha Hospitali.
Chanzo cha ugomvi hadi leo bado kitendawili baada ya kutoka fununu kuwa uenda ugomvi huo unahusishwa na kumgombea bwana yaani mwanaume ambaye waliwahi kumgombea siku za nyuma lakini kupigana kidogo ambapo mmoja alitoka nduki na kuacha msala ukitulia.
  Tunafuatilia tukio hilo kwa ukaribu kisha tutakujuza kulikoni hadi nyota wetu kutaka kuharibiwa show yake ambayo ndio inampa ajira katika uigizaji, tunampa pole kwa majeraha yaliyompata , huku tukisubiri atusimulie sakata leo hakuwa tayari kupokea simu yetu.

No comments:

Post a Comment