“Kumekuwa na fight kubwa sana kati ya mimi na director wangu pale ninapokuwa na scene za ofisini nakuwa mbishi sana swala kuvaa hereni sasa nimepata ushauri kutoka kwa mashabiki wangu nimeona nikamshauri director wangu kuepuka kero ambazo hawazipendi mashabiki wangu. Nitakuwa mjinga nisipo wasikiliza mashabiki wangu,” PHD aliiambia Enewz ya EATV.
DC MPOGOLO USAFI ZOEZI LA KUDUMU ILALA.
-
Katika kuhakikisha zoezi la usafi linakua la kudumu, Mkuu wa wilaya ya
Ilala Edward Mpogolo amewataka wananchi, wafanyabiashara na taasisi zote
n...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment