HII KALI::MATANGA KATIKATI YA BARABARA!TAZAMA PICHA
Katika
hali isiyo ya kawaida, kamera za GPL zilinasa shughuli hizi ya matanga
zikifanyika katikati ya barabara ya Tandale maeneo ya Somanga jijini Dar
es Salaam. Tukio hilo lilisababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi
wanaotumia barabara hiyo hasa madereva.
No comments:
Post a Comment