Pages

Tuesday, August 20, 2013

JESHI LA POLISI LAFANIKIWA KUKAMATA VITU MBALIMBALI KATIKA OPERESHENI KALI DHIDI YA WAHALIFU

SONY DSCKamishina wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam , CP , Suleiman Kova, Akiongea na waandishi wa habari leo Ofisini kwake jijini Dar es salaam, kuhusu Operesheni kali dhidi ya wahalifu wanaotumia silaha, dawa za kulevya , Tindi kali na kufanikiwa kukamata vitu mbalimbali vikiwemo bangi gunia kumi,   pombe ya gongo lita 187, puli za misokoto 148, pamoja na Trasnsfomer mali ya shirika la umeme (TANESCO ), pamoja na watuhumiwa 231
003Kamishina wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam, CP,  Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari  gari mali ya kampuni ya umeme TANESCO likiwa na Trasnsfomer iliyokamatwa kwenye Operesheni hiyo
SONY DSCKamishina wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam, CP,  Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya pesa zilizokamatwa kwenye msako huo,
004Kamishina wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam Suleiman, CP, Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari, vitu mbalimbali vilivyokamata kwenye Operesheni hiyo,
PICHA ZOTE PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment