Pages

Tuesday, August 20, 2013

JK. ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA NEMELA MANGULA JANA

a44 148ea
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Nemela Phillip Mangula, binti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam jana Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013 . PICHA NA IKULU....(M.M)

No comments:

Post a Comment