Rais wa Malawi Joyce Banda amechaguliwa kuwa M/kiti mpya wa SADC atakayeshika hatamu za uongozi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya Rais wa Msumbiji Almando Gwebuza kumaliza muda wake, Katika hotuba yake Rais Joyce Banda aliyoitoa huko jijini Lilongwe alimsifu Rais JM Kikwete kwa juhudi zake za kutatua migogolo ktk nchi nyingi Barani Afrika, pia ameitaka nchi ya Madagaska kumaliza matatizo yao kabla ya kufanyika uchaguzi mwaka huu, Rais Banda aliwataka viogozi wenzake kupigana na adui masikini ili bara la Afrika lisonge mbele. Mungu bariki Afrika na watu wake
No comments:
Post a Comment