KESI YA MUME WA JOYCE KIRIA AITWAYE.. HENRI KILEWO NA WENZAKE YAFUTWA NA MAHAKAMA, SASA WAPO HURU
Watuhumiwa
wa Kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili wanachama wa Chadema akiwemo
Henry kilewo wameachiwa Huru Baada ya Kesi Yao kufutwa na jaji katika
mahakama kuu Huko Tabora
No comments:
Post a Comment