MMOJA wa wasichana waliomwagiwa tindikali Visiwani Zanzibar, Kirstie Trup, ameruhusiwa kutoka hospitalini.
Kirstie
Trup (18), aliyemwagiwa tindikali akiwa na mwenzake Katie Gee (18) wiki
iliyopita ameruhusiwa mwishoni mwa wikiendi kurudi nyumbani kwao
Hampstead, jijini London mpaka Alhamisi ya wiki hii ambapo atarudishwa
katika hospitali ya Chelsea and Westminster kwa matibabu zaidi.Na Gpl
Wakati
mwenzake akiruhisiwa, Katie yeye bado anaendelea kupata matibabu katika
majeraha yake ambapo aliungua kwa asilimia 80 ya mkono wake wa kulia na
asilimia 50 ya sehemu za kifua na tumboni.
No comments:
Post a Comment