Pages

Sunday, August 18, 2013

Mwanasheria Mkuu SMZ: Serikali Mbili zitavunja Muungano



mwanasheria-smz_4f5e7.jpg
Mwanasheria Mkuu Zanzibar Mh. Hamad Masoud
* Awashangaa wanaotaka Zanzibar iendelee kuwa manispaa
* Asema kutokuwepo Serikali ya Tanganyika ndio kero Kuu ya Muungano
* Awasuta wanaotaka Serikali Mbili
Na Salim Salim
Mwanaseria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar leo amesema lengo la kuandikwa kwa Katiba Mpya si kuyafanyia Marekebisho katiba iliyokuwepo sasa bali ni kandika Katiba Mpya katiba ambayo itakuwa muarubaini kwa kero za Muungano na Muungano wenyewe

No comments:

Post a Comment