Pages

Saturday, August 24, 2013

NEWS:HATIMAYE MTOTO WA KIM NA KANYE AONEKANA MTAZAME HAPA


Ukitaja Kim Kardashian na Kanye west lazima
watamjumuisha na Jina la mtoto wao North west,
Ingawa apo mwanzo apakuwa na taswira ya
 mtoto huyo muonekana wake ukoje.
Ilitegemewa picha za mtoto North ndizo zingeuzwa
 ghali zaidi kwakuwa magazeti tofauti yalifika
dau ya kupata picha za mtoto huyu
ambae hadi sasa ana miezi 2.
Lakini chakushangaza mwanadada Kim aliachia
 picha ya mwanaye huyo wa kike kwenye
mtandao wake wa Twitter na kufanya ndoto za
majarida nguli duniani kuishia kwenye hewa
pasipo kuwa na mafanikio.....
itazame picha hiyo hapa mtoto North West
anaonekana ni mwenye Afya tele....Na kwa kumuangalia
labda sema wewe anafanana na nani........???

Angalia picha zote alafu,tiririka na maoni yako hapo chini.....
Ebu sema wewe kafanana na nani hapa....?????
Kim na kanye enzi za udogo wao.....

No comments:

Post a Comment