Picha ya kwanza niliipiga mwaka 1989. Na hiyo ya pili nimeipiga jioni hii, 2013. Unaweza kuona kuna tofauti, lakini, nibahatika kupiga tena picha mahali hapa miaka kumi ijayo, basi, yaweza kuanzisha mjadala mkubwa juu ya dhana ya maendeleo. Ni picha kama hizi, kuwa zaweza kuwa kumbukumbu nzuri za kihistoria kwa vizazi vijavyo. Naamini hivyo.NA MJENGWA
No comments:
Post a Comment