Pages

Sunday, August 25, 2013

PICHA: YANGA ILIVYOANZA MBIO ZA KUTETEA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM KWA KUITANDIKA ASHANTI 5-1

 Wachezaji wa Ashanti United wakisalimiana na wachezaji wa Yamnga kabla ya mchezo. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Beki wa Ashanti United, Ramadhani Malima akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Hussein Javu, katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1. 
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika ya pamoja.
 Beki wa Ashanti United, Emanuel Kichiba (kushoto), akichuana na kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-1.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 5-1.

No comments:

Post a Comment