Mama yangu Bi Sandrah akijikoki sawa sawa tayari kuelekea kwenye futari kwa Mama yangu mkubwa Asha Baraka... |
Mama Asha akiwahudumia wageni wake mara baada ya Adhani kuadhiniwa... |
Ni vyanda tu kwenda mbele stori baadaee..... |
Mjomba Mrisho nae akukosekana all the way from Kigoma huyu ni kaka yake Mama yangu kabisa toka ntoke.... |
Kushoto ni Shangazi Latifa na Mumewe Uncle Mrisho... |
Acha niwajulie hali Kigoma kwanza....... |
Baada ya chakula ni matunda tu chakula kishuke saawia... |
Mzee Muhidini Gurumo akionekana akigonga vyanda katikati na Mmiliki wa Tanzania One Blog.... |
Diana Mama & Mwengi Ally Shem lake walikuwepo pia.... |
No comments:
Post a Comment